BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    2,336 views
    Wingu adimu ‘roll cloud’ liliwashangaza watu waliokuwa ufukweni nchini Ureno,ambapo watu wengi kwa sasa wanakwenda baharini kwa ajili ya kupunguza joto kali lililoikumba nchi hiyo. Video za wingu hilo zimeenea kwa kasi mitandaoni. Kwa mujibu wa wataalamu, wingu la aina hiyo hutokea pale ambapo hewa baridi inakutana na joto kali. Ureno imevunja rekodi kwa mwezi Juni kwa kuwa na joto kali zaidi kuwahi kutokea,likifikia nyuzi joto 46.6°C. #bbcswahili #ureno #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw