Limuru: Maafisa wa polisi wamtia mbaroni mshukiwa mmoja wa mauaji

  • | NTV Video
    900 views

    Maafisa wa polisi Limuru wamemtia mbaroni mshukiwa mmoja wa mauaji ya mwanamke aliyeuawa kinyama usiku wa kuamkia Jumanne ambapo alidungwa visu zaidi ya mara 20 na kufariki papo hapo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya