Kesi yawasilishwa dhidi ya Eliud Lagat

  • | Citizen TV
    10,331 views

    Mkuu wa kituo cha polisi cha Central Samson Taalam amepewa muda wa kuamua jinsi anavyonuia kuendeleza ombi lake la kutaka kufunguliwa kwa uchunguzi wa mahakama kuhusu kifo cha Mwanablogu Albert Ojwang’