Kwale: Wanahabari wanafunzi waeleza safari zao pamoja na mtazamo wa tasnia nzima ya uanahabari

  • | NTV Video
    100 views

    Kukuza vipaji ni mojawapo ya nguzo muhimu ya kupata nguvu kazi yenye uwezo. Leo, safari yetu inatusafirisha hadi Shule ya Wasichana ya WAA, kaunti ya Kwale, ambapo tunapatana na wanahabari wanafunzi wakieleza safari zao pamoja na mtazamo wa tasnia nzima ya uanahabari.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya