West Pokot: Wakazi waandaa sherehe ya “Sintagh” ili kusherehekea mavuno kwa kuimba na kucheza densi

  • | NTV Video
    104 views

    Kati ya tamaduni ya Wapokot, sherehe ya “Sintagh” husherehekewa kila mwezi wa sita wa kila mwaka. Sherehe hii, ambayo husherehekewa katika madhabahu ya kitamaduni ya jamii hiyo katika eneo la Muino, eneo la Tamkal katika kaunti ndogo ya Pokot ya Kati, huwapa wakulima nafasi ya kusherehekea mavuno, kumuomba na kumshukuru Mungu, na kuwapa nafasi vijana kuoana, kuimba na kucheza densi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya