Maaskofu wa KaskazinI mwa bonde la ufa wakutana

  • | Citizen TV
    740 views

    Maaskofu kutoka ukanda wa kaskazini mwa Bonde la Ufa wanatoa taarifa kuhusu mustakabali wa taifa hususan kuhusiana na maandamano, mauaji, utekajinyara na hali tete ya usalama katika kaunti ya Elgeyo Marakwet