Wakazi wa Mbulia wanaishi kwa hofu ya kufurushwa

  • | Citizen TV
    398 views

    Wakazi wa Mbulia eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta wanaishi kwa hofu baada ya kupewa notisi ya kuondoka sehemu hiyo. Wakazi hao wanasema kuwa wamekuwa wakiishi katika eneo hilo kwa zaidi ya miaka 40