Katibu Omollo aonya dhidi ya machafuko

  • | Citizen TV
    245 views

    Katibu katika wizara ya usalama Raymond Omollo amewaonya wanaotumia maandamano kuzua vurugu kuwa watakabiliwa kisheria