Wanafunzi waandaa tamasha ya kitamaduni Kisii

  • | Citizen TV
    483 views

    Wanafunzi wa shule ya kitaifa ya wavulana ya Kisii wameandaa tamasha la aina yake ya kitamaduni kuonyesha mila na desturi ya wakenya