Washukiwa waliovamia duka la Naivas washtakiwa Nyeri

  • | Citizen TV
    629 views

    Washukiwa ishirini kati ya ishirini na mmoja wa wizi wa duka la naivas mjini nyeri jumatano iliyopita wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu Hamsini pesa taslimu au bondi ya shilingi laki moja