Wakazi wa kijiji cha Nyasese huko Kuria walalamika

  • | Citizen TV
    576 views

    Wakazi wa kijiji cha Nyasese katika eneo bunge la Kuria west wanalalamikia uvundo unaotoka kwenye biashara ya ngozi inayomilikiwa na mtu binafsi.