Msichanan wa miaka kumi afariki baada ya kung'atwa na mbwa

  • | Citizen TV
    502 views

    Kifo cha msichana wa miaka kumi aliyeng'atwa na mbwa kichaa eneo la Ilbisil imezua taharuki baada ya msichana huyo kuaga dunia akipokea matibabu.