Wakazi kakamega watakiwa kuendeleza desturi ya upanzi wa miti

  • | Citizen TV
    111 views

    Wakazi wa kaunti ya Kakamega wametakiwa kuendeleza desturi ya kupanda miche kwa wingi kama njia mojawapo ya kuhifadhi mazingira na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.