Tamasha yafanyika katika shule ya upili ya wavulana ya Kisii

  • | Citizen TV
    679 views

    Wanafunzi wameandaa tamasha ya aina yake ya kitamaduni kuonyesha mila na desturi za wakenya.