Kwanini Korea iligawanyika mara mbili?

  • | BBC Swahili
    4,575 views
    Vita vya Korea havijawahi kumalizika lakini vilianza vipi? Katika kipindi cha miaka 75 tangu kuanza kwa Vita vya Korea, hakujawahi kuwepo kwa makubaliano ya amani kati ya Korea Kaskazini na Korea Kusini. Hapa tunaangazia chimbuko la mzozo huo, tukichunguza jinsi Marekani, China, na Umoja wa Kisovieti walivyohusika na kwa nini Korea mbili bado zimegawanyika hadi leo. Tofauti na kutokuelewana kwa pande hizo mbili ni zipi? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw