Tanzania: 'Hakuna njama ya kumdhuru Lissu'

  • | BBC Swahili
    27,024 views
    Serikali ya Tanzania imewaomba raia kupuuza taarifa za chama cha upinzani CHADEMA kwamba kuna mpango wa kumuwekea sumu kiongozi wa chama hicho aliye gerezani Tundu Lissu. Awali msemaji wa CHADEMA Brenda Rupia alitoa taarifa na kumnukuu David MacAllister ambaye ni mbunge katika bunge la bara Ulaya akisema ana wasiwasi kuwa kuna jaribio la kumtilia sumu Lissu. Je, ukweli uko wapi? @RoncliffeOdit anachambua suala hili kwa kina katika Dira ya Dunia TV leo usiku kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #tanzania #dirayadunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw