- 574 viewsDuration: 2:16Makundi ya kutetea haki za binadamu yamelishutumu serikali ya Kenya kwa kimya kirefu kuhusu mauaji na mateso yanayowakumba Wakenya katika mataifa ya kigeni. Wakati huo Familia ya Ogutu aliyeuawa nchini Tanzania imelilia serikali ya Kenya na Tanzania kuwa na utu na kuchukua hatua za haraka kurejesha mwili wa mpendwa wao. Okoth Ogutu, mwalimu anadaiwa kupigwa risasi na kuuawa kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi nchini Tanzania