7 Nov 2025 1:21 pm | Citizen TV 127 views Duration: 1:34 Mawaziri wa afya kutoka kaunti zote 47 wanakongamana hapa jijini Nairobi, kwa kikao cha siku mbili cha kila mwaka kupiga msasa na kutathmini ufanisi na changamoto za serikali za kaunti za sekta ya afya.