Mwanablogu Ndiang'ui Kinyagia afika mahakamani akiwa amechanganyikiwa na amenyolewa

  • | Citizen TV
    6,993 views

    Ndiang'ui Alikuwa Wapi? Mwanablogu Ndiang'ui Kinyagia Afika Mahakamani Leo Mahakama Imeambiwa Kuwa Anahofia Maisha Yake Idara Ya Dci Imekuwa Ikikana Kumkamata Ndiang'ui Wakili Wa Ndiang'ui Asema Ameonekana Mwenye Hofu Idara Ya Polisi Yamtaka Ndiang'ui Kuandikisha Taarifa