7 Nov 2025 1:29 pm | Citizen TV 1,648 views Duration: 52s Mahakama ya Mazingira na Ardhi jijini Nairobi imesikiliza maombi mawili yaliyowasilishwa na Kituo cha biashara cha Gikomba katika kesi ya wadhamini wa msikiti wa Pumwani Riyadha na wengine.