- 195 viewsDuration: 3:52Kwa miaka mingi dawa za kiasili zimekuwa zikipuuzwa sana na wanasayansi lakini sasa mambo yamebadilika kwani chuo cha Moi kwa ushikiano na washikadau katika sekta ya afya ,sasa wataanza kufanya utafiti wa dawa hizo ili zitumike hospitalini.