Skip to main content
Skip to main content

Chama cha bodaboda chafanya uchaguzi wa viongozi kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    219 views
    Duration: 1:20
    Chama cha boda boda kaunti ya Trans Nzoia kimeandaa uchaguzi wa viongozi wapya katika juhudi za kurejesha nidhamu na uwajibikaji katika sekta ya boda boda.