Skip to main content
Skip to main content

Shule ya Senti Francis ECDE kilichoko eneo la Mang’u yabomolewa na watu wasiojulikana

  • | NTV Video
    415 views
    Duration: 1:31
    Gavana wa Kiambu, Kimani Wamatangi, amelaani vikali ubomozi wa kituo kipya cha Senti Francis ECDE kilichoko eneo la Mang’u, Gatundu Kaskazini, akikitaja kitendo hicho kuwa uharibifu wa rasilimali za umma na ishara ya siasa chafu zinazochipuka katika kaunti hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya