7 Nov 2025 1:52 pm | Citizen TV 248 views Duration: 1:43 Wakulima wa Kambusu katika kaunti ndogo ya Matungulu huko Machakos wamepiga hatua kubwa kwa kufungua rasmi kiwanda kipya cha kusindika maziwa chenye thamani ya zaidi ya Ksh.10 milioni .