- 267 viewsDuration: 3:35Maelfu ya wafanyabiashara katika mji wa mpakani wa Malaba eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia watapata sehemu za kufanyia biashara zao baada ya serikali ya kitaifa kuanzisha ujenzi wa soko jipya katika mji huo. Ujenzi huo ni afueni ya kuwaondolea masaibu ambayo wamekuwa wakipitia kwa miaka mingi