7 Nov 2025 2:01 pm | Citizen TV 209 views Duration: 1:13 Timu ya taifa ya taekwondo ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 iko jijini Kampala Uganda iko tayari kushiriki mashindano ya kuwania kombe la balozi wa korea kusini awamu ya uganda tarehe 8 na 9 mwezi huu wa novemba.