Muuaji wa Watoto Ahukumiwa Maisha Jela

  • | K24 Video
    860 views

    Evans Wanjala amehukumiwa kifungo cha maisha na Mahakama Kuu ya Eldoret kwa ubakaji na mauaji ya watoto eneo la Moi’s Bridge, Uasin Gishu. Pia, maafisa wawili wa polisi wamepatikana na hatia ya kumuua mshukiwa mwingine, mwili wake ukapatikana Mto Nzoia.