Baada ya miezi 21 ya vita kati ya Israel na kundi la Hamas, matumaini ya kutangazwa kwa makubaliano mapya ya kusitisha vita Gaza yanazidi kuongezeka, huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikutana na Rais wa Marekani Donald Trump jijini Washington baadaye leo.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
12 Jul 2025
- Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.