Wachezaji 7 maarufu duniani waliowahi kushitakiwa kwa ubakaji

  • | BBC Swahili
    5,255 views
    Hivi karibuni Jeshi la Polisi la Uingereza lilimfungulia mashtaka ya ubakaji kiungo wa zamani wa klabu ya Arsenal, Mghana, Thomas Partey. - Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 anakabiliwa na mashtaka matano ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanawake watatu. - Hii si mara ya kwanza kwa jina kubwa kwenye soka kuhusishwa na tuhuma nzito kama hizi. - @bosha_nyanje ana orodha ya wachezaji wengine saba mashuhuri waliowahi kutuhumiwa na au kushtakiwa kwa ubakaji au unyanyasaji wa kingono. - - - #bbcswahili #uingereza #wachezaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw