Waliodaiwa kuchoma kituo cha polisi na korti kizimbani

  • | Citizen TV
    2,166 views

    Washukiwa wanaodaiwa kuhusika na madai ya uharibifu wa mali katika kituo idara ya mahakama ya kiambu, wamefikishwa kizimbani. Washukiwa hao ni pamoja na Peter Kawanjiru ambaye aliachiliwa wiki iliyopita na kisha kukamatwa tena katika hali isiyoeleweka.