Kenya yashinikizwa kufanya uchunguzi kuhusu Maandamano. Katika Dira ya Dunia TV.

  • | BBC Swahili
    11,300 views
    Kamishna mkuu wa umoja wa mataifa wa haki za Kibinadamu Volker Türk ametoa wito wa uchunguzi wa wazi na huru kufanyika kuhusu mauaji ya waandamanaji pamoja na watu wengine katika maandamano nchini Kenya, akisema wale waliohusika wanafaa kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria.