Michuano ya Wafcon: Wawakilishi dimbani kesho. Katika Dira Ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    403 views
    Leo ni siku ya mapumziko katika kombe la mataifa ya ubingwa wa Afrika kwa wanawake Wafcon nchini Morocco, huku timu zikitathmini matokeo yao baada ya mechi za raundi ya kwanza za makundi. Tanzania walianza kampeni hii kwa mkosi baada ya kubamizwa bao moja kwa nunge na Mali.