Maafa siku ya Sabasaba I Mwanafunzi wa gredi ya saba afariki baada kupigwa risasi

  • | KBC Video
    72 views

    Mwanafunzi wa gredi ya saba alifariki baada ya kupigwa na risasi inayoaminika kufyatuliwa na afisa wa polisi wa kupambana na ghasia, akiwa nyumbani kwao katika kaunti ya Kiambu, wakati wa makabiliano kati ya polisi na waandamanaji hapo jana. Na katika tukio sawia na hilo, mwanafunzi mmoja ni miongoni mwa watu wawili waliouawa kwa kupigwa risasi na polisi mjini Naivasha. Matukio hayo yamezua taharuki, huku viongozi na familia zikililia haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive