Mwanafunzi wa chuo cha MKU Ian Mungai, anayedaiwa kupigwa risasi wakati wa maandamano, aombolezwa

  • | NTV Video
    537 views

    Huzuni imetanda miongoni mwa familia moja katika mji wa Thika kaunti ya Kiambu baada ya mwana wao ambaye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Mount Kenya kufariki.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya