Je, hili ndilo gari jembamba zaidi duniani?

  • | BBC Swahili
    49,981 views
    Huenda likaonekana kama si gari la uhalisia, lakini gari hili linaweza kuendeshwa. Andrea Marazzi kutoka Crema, Italia, ametengeneza upya gari maarufu la Fiat Panda la mwaka 1993. Na amepunguza upana wake hadi sentimita 50 pekee. - - #bbcswahili #gari #worldgenesis #tekinolojia #ubunifu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw