Rais Ruto : Wanaozua fujo watakabiliwa ipasavyo

  • | KBC Video
    924 views

    Rais William Ruto amewaonya wale wanaoazimia kuzua ghasia ili kuyumbisha serikali kuwa watakabiliwa kwa mujibu wa sheria. Rais alisema kuwa hatayumbishwa na hataruhusu ghasia kupitia maandamano kutatiza maendeleo humu nchini. Katika hatua ambayo haikutarajiwa, Rais William Ruto aliagiza kwamba waporaji na wateketezaji wanaochukua fursa ya maandamano walemazwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive