Wakulima Kisumu watumia minyoo na wadudu kuongeza rotuba

  • | Citizen TV
    390 views

    Wakulima mjini Kisumu wanaboresha rotuba ya udongo kwa kutumia minyoo na wadudu hai wanaowekwa kwenye bua za mazao ya mpunga. Wakulima wamefanikiwa kuongeza mavuno, kupunguza gharama za uzalishaji na kulinda mazingira kwa kutumia mbinu hii endelevu.