Je, Ukraine itaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Urusi? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,078 views
    Serikali ya Ukraine imekaribisha tangazo la Rais Trump kwamba utoaji wa silaha kwa Kyiv utaanza tena, siku chache baada ya kuamuru kusitishwa kwa usafirishaji wa silaha hizo. Trump aliwaambia waandishi wa habari kuwa Kyiv lazima iwe na uwezo wa kujilinda dhidi ya uchokozi wa Urusi unaoendelea.