Skip to main content
Skip to main content

Serikali yakanusha madai ya ongezeko la ada za shule za bweni kuanzia Januari

  • | Citizen TV
    140 views
    Duration: 1:12
    Serikali imekanusha madai ya ongezeko la ada ya shule za bweni kwa Shule za Sekondari ya Juu kuanzia Januari mwaka ujao. Akizungumza mjini Machakos waziri wa Elimu, Julius Migos Ogamba, alikanusha ripoti iliyotolewa mapema wiki hii kuhusu swala hilo akisisitiza hakuna taarifa mpya iliyotolewa kubadilisha ada inayotolewa katika shule za umma