Wauguzi wanagenzi walalamika kokosa nafasi ya kufanya kazi nyanjani

  • | Citizen TV
    168 views

    Baadhi ya wanafunzi wanaolalamika walihitimu mwaka wa 2019 na 2020. Wanailaumu wizara ya afya na baraza la uuguzi nchini kwa ubaguzi, wakidai kuwa wamepuuzwa licha ya kuwa na utaalamu unaohitajika.