Wahudumu wa afya Kisii walia ngoa kuhusu ahadi

  • | Citizen TV
    335 views

    Zaidi ya wahudumu 200 wa afya ya UHC kutoka Kisii wameelezea wasiwasi wao kufuatia serikali kutoweka mipango ya ajira ya kudumu (PnP) kwenye bajeti mwaka huu, kinyume na ahadi waliopewa na waziri wa Afya Aden Duale