Ukarabati wa bwawa la Etio waleta mabadiliko

  • | Citizen TV
    107 views

    Kwa miaka mingi, baadhi ya wakazi wa Kapteren waliendesha biashara haramu ili kusaidia familia zao, hali iliyowafanya kukabiliana mara kwa mara na vyombo vya sheria