Kaunti ya Murang'a imefutilia mbali ada za matibabu

  • | Citizen TV
    262 views

    Serikali ya kaunti ya Murang'a imejizatiti kutoza ada zote za matibabu na zile za mochari kwa waathiriwa wa maandamano ya siku ya saba saba ambayo yalishuhudia watu watatu kupigwa risasi na kuuawa na wengine kujeruhiwa