Drone ya mkulima yaokoa watoto waliokwama kwenye mafuriko

  • | BBC Swahili
    8,201 views
    Mkulima mmoja huko Vietnam ametumia ndege isiyo na rubani (drone) kuwaokoa watoto waliokwama kwenye mto uliofurika nchini Vietnam. Katika maeneo hayo mafuriko ya ghafla na maporomoko ya ardhi hutokea mara kwa mara wakati wa msimu wa mvua, na katika hali mbaya zaidi, wakati mwingine vijiji vyote hufunikwa na maji. #bbcswahili #vietnam #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw