Mashirika yasisitizia kutolewa kwa taarifa mapema

  • | Citizen TV
    124 views

    Watabiri wa hali ya hewa wamekongamana mjini Garissa kuunda mifumo ya tahadhari ya mapema ya kutabiri majanga na kuwafahamisha wenyeji kwa wakati ufaao ili kuokoa maisha na mali