Wakulima mjini Kisumu wanaboresha rotuba ya udongo kwa kutumia minyoo na wadudu hai

  • | Citizen TV
    128 views

    Wakulima wamefanikiwa kuongeza mavuno, kupunguza gharama za uzalishaji na kulinda mazingira kwa kutumia mbinu hii endelevu