Donald Trump amsifia Rais wa Liberia kwa kuzungumza Kiingereza

  • | BBC Swahili
    8,868 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amepongeza Rais wa Liberia, Joseph Boakai, kwa ustadi wake wa kuzungumza Kiingereza wakati wa mkutano na viongozi kadhaa wa Afrika katika Ikulu ya White House. Trump alimwambia Boakai kwamba anazungumza “Kiingereza kizuri sana” na kumuuliza alisome wapi. Boakai alitabasamu kwa heshima lakini hakutaka kusema kama Kiingereza ni lugha rasmi ya Liberia. #bbcswahili #DonaldTrump #Liberia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw