Polisi Klinzy Barasa kushtakiwa kwa mauaji ya mchuuzi Kariuki

  • | Citizen TV
    483 views

    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya afisa wa polisi Klinzy Baraza Masinde, kwa kumpiga risasi na kumuua mchuuzi wa maski Boniface Kariuki jijini Nairobi