Mwalimu wa dhuluma Alliance asimamishwa kazi kufuatia maandamano

  • | Citizen TV
    2,484 views

    Katibu wa Elimu Julius Bitok ameamuru kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa mwalimu mmoja wa shule ya kitaifa ya wasichana ya Alliance, kufuatia madai kuwa amekuwa akifanya mapenzi na wanafunzi. amri ya Bitok inajiri huku wanafunzi wa zamani wa shule hiyo wakiandamana nje ya shule hiyo hii leo