Kadhi Mkuu azikwa Mombasa viongozi wamiminika kwa rambirambi

  • | Citizen TV
    2,686 views

    Kadhi mkuu nchini Sheikh Abdulhalim Hussein amezikwa huku risala za rambirasmbi zikiendelea kutolewa. rais william ruto amemuomboleza Sheikh Hussein akimtaja kama kiongozi shupavu, mpole, na mwadilifu. jaji mkuu Martha koome amemkumbuka kwa mchango wake katika safari ya haki kwa jamii ya waisalamu na taifa kwa jumla